Wanajeshi wawili wa Rwanda waliotekwa na jeshi la DRC mwezi uliopita na kushutumiwa na mamlaka ya Congo kwa kuunga mkono mashambulizi ya waasi wameachiliwa huru kwa mujibu wa jeshi la Rwanda.