Radio
06:00 - 06:30
Maelfu ya watu wakimbia mapigano makali kati ya jeshi la DRC na waasi wa M23
Maelfu ya wakazi wa Bunagana na Jomba wamelazimika kwa mara nyingine kuhama makazi yao na kukimbilia nchini Uganda na wengine msituni , kufuatia mapigano mapya na makali kati ya jeshi la serikali , FARDC na waasi wa M23 karibu na mji wa Bunagana siku ya Jumapili.
16:30 - 17:00
Serikali ya Tanzania imeamua kuwekeza katika mipango ya maendeleo ya vijana kupitia ubunifu
Serikali ya Tanzania imeamua kuwekeza katika mipango ya maendeleo ya vijana kupitia ubunifu wakitaja wanataka kuruhusu mawazo mapya na mbadala ambayo yatachochea mapinduzi ya teknolojia , biashara na kukuwa kwa uchumi.
21:00 - 21:29