Radio
06:00 - 06:30
Rais wa Marekani Joe Biden aliwasilisha mpango wake Alhamis kwa mataifa katika bara la Amerika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Biden alisema ushirikiano wa Marekani kwa ustawi wa kiuchumi utashughulikia mzozo wa hali ya hewa moja kwa moja kwa mawazo sawa tunayoyaleta kazini nchini Marekani
16:30 - 16:59
Tanzania yavitaka vyuo vikuu kufuata mtaala unaozingatia ujuzi na taaluma
Waziri wa Elimu wa Tanzania ameviagiza vyuo vikuu kuanza mchakato wa kubuni mtaala ambao unazingatia zaidi taaluma na ujuzi badala ya masomo tu ya kawaida, huku wakososaji wakisema mtaala kama huo katika shule za msing bado haujatekelezwa.