Radio
06:00 - 06:30
Rais wa Marekani Biden na Rais wa China Jinping watakutana wiki chache zijazo lakini sio baada ya mkutano wa G7 anasema Jake Sullivan
Wanadiplomasia wa Marekani na China wanapanga mikutano kando ya mawaziri wa G-20 mwezi Julai Indonesia. Sullivan alisema kuna haja ya dharura ya mashauriano kati ya G-7 na wanachama wa NATO kushughulikia changamoto za China ikitaka uwiano kati ya nchi zinazoongoza kwa demokrasia ya masoko
16:30 - 17:00
19:30 - 20:00
Tanzania, Uganda zawasilisha bajeti zao za mwaka 2022/2023
Tanzania na Uganda Jumanne zimewasilisha makadirio ya matumizi ya fedha za serikali ya mwaka 2022/2023 bungeni, ambapo Uganda inakusudia kufadhili sekta ya usalama kwa takriban ya Shilingi Trilion 4 kwenye bajeti yake ya Shilingi Trilion 48.
21:00 - 21:29