Radio
06:00 - 06:30
Serikali ya Kenya imetangaza lazima ya uvaaji barakoa kwenye maeneo ya umma kutokana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya Corona
Watu wanaoshindwa kuvaa barakoa katika maeneo ya umma nchini Kenya wanaweza kufungwa jela au kutozwa faini ya hadi shilingi 20,000 kutokana na ongezeko la maambukizi ya Covid-19
21:00 - 21:29
KWA UNDANI: Mgomo wa walimu kote Uganda baada ya rais Museveni kuamrisha walimu wa sayansi kulipwa mshahara mkubwa kuliko wa masomo mengine
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.