Kwa zaidi ya saa tisa, raia wa Afrika Kusini Jumamosi walibaki katika giza kutokana na kukosekana umeme kwenye makazi yao na biashara kote nchini humo, ambao ni muda mrefu zaidi kukosekana kwa umeme katika miaka ya karibuni.