Radio
06:00 - 06:30
Mapigano makali yazuka tena kati ya jeshi la DRC na waasi wa M23
Mapigano makali yametokea mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kati ya wanajeshi wa serikali na waasi wa kundi la M23, saa chache baada ya rais wa Congo Felix Tshisekedi kukubaliana na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kupunguza uhasama kati ya nchi zao mbili.
19:30 - 20:30
Mazungumzo ya kina kwenye Live Talk kuhusu kukuza lugha ya Kiswahili ulimwenguni.
Ulimwengu Alhamisi umeadhimisha siku ya kimataifa ya Lugha ya Kiswahili, baada ya lugha hiyo kutambuliwa na UNESCO mwaka wa 2021. Wageni pamoja na wasikilizaji wanazungumzia kwa kina ukuzaji wa lugha hiyo ambayo sasa imekumbatiwa kwenye mataifa mengi ulimwenguni.