Radio
06:00 - 06:29
Baadhi ya wabunge wa DRC waitisha maandamano dhidi ya MONUSCO
Mashirika mbali mbali ya kiraia pamoja na baadhi ya wabunge wametoa wito kwa wanainchi kutoka mikoa yote 26, kuanda maandamano ya kuomba wanajeshi wa MONUSCO walioko DRC kuondoka nchini humo, kwa madai kwamba wameshindwa kudumisha amani kwa wananchi wa Congo kwa zaidi ya miaka 20.
16:30 - 16:59
Wanariadha wengi wa Afrika Mashariki washindwa kuonyesha umahiri wao Oregon
Wanariadha wengi kutoka nchi za Afrika Mashariki kufikia sasa hawajafanya vyema katika mashindano ya kimataifa ya riadha yanayoendelea mjini Eugrne, Oregon, nchini Marekani, Hata hivyo, Uganda iinaonyesha matumaini ya kufanya vyema zaidi.