Radio
16:30 - 16:59
Wazairi wa mambo ya nje wa Russia, Sergei Lavrov akutana na Rais Museveni
Waziri wa mambo ya nje wa Russia, amefanya mkutano na wanahabari akiwa na Rais Yoweri Museveni wa Uganda. Mhitimu wa Yali, Zubeda Sakuru aelezea jamna mpango wa Mandela Fellowship ulivyo mwezesha kupata ujuzi zaidi wa kiutawala.
19:30 - 19:59
Seneta Robert Menendez wa Marekani atoa wito wa tathmini ya kina ya sera ya Marekani kwa Rwanda.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uhusiano wa mambo ya Nje katika baraza la Seneti la Marekani amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda Bungeni kutokana na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya serikali ya Rwanda na jukumu lake katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
21:00 - 21:29
Kwa Undani: Russia inataka kuuzia Uganda mafuta, Museveni anataka nafaka na ngano. Tunaangazia pia mgombea wa urais Kenya Prof Wajackoya
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.