Radio
16:30 - 16:59
VOA Express
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
19:30 - 19:59
Viongozi wa G7 wazindua mradi wa dola bilioni 600 ukilenga nchi maskini duniani
Katika kile kinachoonekana kama mkakati wa kushindana na China katika ufadhili wa miradi ya miundombinu ya nchi maskini duniani, kundi la G7 limeanzisha mradi wa dola bilioni 600 ukilenga miradi mbalimbali katika nchi hizo.
21:00 - 21:29