Radio
06:00 - 06:29
Wakimbizi wa DRC walioko Angola waanza tena kurudi nyumbani
Shirika la Umoja wa mataifa linalohudumia wakimbizi linasema mpango kwa ajili ya wakimbizi wa Congo wanaotaka kurejea nyumbani kwa hiari kutoka Angola umeanza tena baada ya kusimama kwa miaka miwili kutokana na janga la Covid 19. Kundi la kwanza la wakimbizi 88 linatarajiwa kuwasili DRC leo.
16:30 - 17:00
Kampuni ya Usiku Games yazindua mchezo wa kompyuta wa elimu ya uraia ili kuwasaidia wapiga kura nchini Kenya
Wakenya wanapokaribia kupiga kura agosti 9 mwaka huu , kampuni ya Usiku Games imezindua mchezo wa kompyuta wa elimu ya uraia ili kuwasaidia wapiga kura nchini humo kufanya maamuzi sahihi kuhusu viongozi watakaowachagua katika uchaguzi mkuu ujao.
21:00 - 21:29