Radio
06:00 - 06:29
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi Kenya inawasihi wakenya kuwachagua viongozi wanaoaminika na waadilifu katika uchaguzi wa Agosti 9
EACC inasema imetekeleza wajibu wake kuwasilisha kwa tume ya uchaguzi orodha ya wagombea 241 wenye uadilifu unaotiliwa shaka lakini hatua ya mwisho ni kwa wakenya kuchagua viongozi bora kwa nchi yao
16:30 - 16:59
VOA Express: Maandamano yafanyika Uganda kulalamikia kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu. watu kadhaa wamekamatwa
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
21:00 - 21:29