Radio
06:00 - 06:30
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Jumanne alifikia makubaliano na kiongozi wa nchi jirani ya Sudan ili kusuluhisha mzozo wa mpaka
Abiy alikutana na kiongozi wa kijeshi wa Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan katika mji mkuu wa Nairobi pembeni ya mkutano wa IGAD ambao unaundwa na nchi wanachama wanane wa Pembe ya Afrika na mataifa jirani
21:00 - 21:30
Kwa Undani: Utawala wa Boris Johnson ambao umekumbwa na kashfa kadhaa Uingereza unaelekea kuanguka baada ya mawaziri kujiuzulu
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.