Radio
06:00 - 06:30
Viongozi wa Ecowas waiondolea vikwazo Mali
Viongozi wa Jumuia ya uchumi ya nchi za Afrika magharibi (ECOWAS) Jumapili waliondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha walivyoiwekea Mali, baada ya viongozi wa kijeshi wa nchi hiyo kupendekeza utawala wa mpito wa miezi 24 na kutangaza sheria mpya ya uchaguzi.
16:30 - 16:59
Watetezi haki wataka kesi ya marufuku ya wasichana wenye mimba kuendelea na masomo Tanzania isikilizwe
Miaka miwili tangu mashirika ya kutetea haki kuwasilisha hoja mahakamani kupinga marufuku iliyowekwa na Rais Magufuli kuwakataza wasichana waliopata mimba kwendelea na masomo, kesi hiyo bado haijatatuliwa.
21:00 - 21:29
Kwa Undani: Wanajeshi wa Uganda waimarisha mashambulizi dhidi ya ADF, Kamanda mkuu wa M23 arejea DRC kuongoza mashambulizi
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.