Radio
06:00 - 06:30
Kenya kwa ushirikiano na WHO wamezindua ujenzi wa kituo cha dharura cha matibabu na vifaa vya afya Nairobi kukabiliana na majanga ya dharura
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameusifia uamuzi wa shirika la afya Duniani (WHO) kuweka kituo Kenya na kusisitiza kituo hicho kitatoa mafunzo ya matibabu ya dharura yenye uwezo wa kukabiliana na zaidi ya majanga 100 kwa wakati ufaao
19:30 - 20:00
21:00 - 21:30