Radio
06:00 - 06:30
Nchi za G7 zatangaza mradi wa dola bilioni 600 kwa nchi maskini
Kundi la la nchi saba tajiri zaidi duniani, G7, Jumapili limetangaza mradi wake kujaribu kushindana na mradi kabambe wa China wa miundombinu na ujenzi wa barabara maarufu Belt and Road Initiative, kwa kuchangisha dola bilioni 600 kwa ajili ya miradi ya kimataifa ya miundombinu katika nchi maskini.
16:30 - 16:59
19:30 - 20:00
Viongozi wa G7 wazindua mradi wa dola 600B wa ufadhili wa miradi katika nchi maskini duniani
Katika kile kinachoonekana kama mkakati wa kushindana na China katika ufadhili wa miradi ya miundombinu ya nchi maskini duniani, kundi la G7 limeanzisha mradi wa dola bilioni 600 ukilenga miradi mbalimbali katika nchi hizo.
21:00 - 21:30
Kwa Undani: Vyombo vya habari Kenya vyatuhumiwa kwa mapendeleo katika kuandika habari za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.