Serikali ya Tanzania imesema iko karibu kukamilisha mchakato ya kuunda sheria mahsusi kuhusu pesa zinazosalia kwenye akaunti za simu na benki pindi mteja anapofariki baada ya utata kuibukia.