Radio
19:30 - 20:00
Makamanda wa kijeshi wakutana Nairobi kujadili kikosi cha pamoja DRC
Makamanda wa kijeshi wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki walikutana mjini Nairobi Jumapili kukamilisha maandalizi ya kutumwa kwa kikosi cha pamoja Mashariki mwa DRC huku serikali ya Kenya ikitangaza kwamba mkutano wa viongozi wa EAC utafanyika Jumatatu.