Radio
06:00 - 06:29
China inasema iko tayari kuzisaidia nchi za eneo la Pembe ya Afrika kupata amani na kuondokana na kile ilichokiita uingiliaji wa nje
Mjumbe maalum wa China kwa Pembe ya Afrika Xue Bing alitoa maoni kwenye mkutano wa kwanza wa China juu ya utawala na maendeleo katika pembe ya Afrika unaofanyika nchini Ethiopia kwamba machafuko, mgawanyiko wa kikanda unaongezeka huku amani na maendeleo yanakabiliwa na upinzani