Tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya, IEBC, imesema kwamba idadi ya vijana waliojiandikisha kama wapiga kura kwelekea kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu imepungua sana ikilinganishwa na mwaka wa 20017.