Radio
06:00 - 06:30
Mashirika ya kiraia Kenya yamewasilisha kesi mahakamani dhidi ya IEBC kuzuia matumizi ya sajili iliyochapishwa ya wapigakura
Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kenya na mashirika mengine sita ya kiraia yanaeleza uamuzi wa IEBC unatishia kuwafungia nje wapigakura wengi waliohitimu zoezi hilo iwapo mitambo ya kielektroniki ya kutambua wapigakura itashindwa kufanya kazi siku ya uchaguzi Agosti 9
16:30 - 17:00
VOA Express: Gharama ya maisha inendelea kuongezeka zaidi Kenya, hakuna maelezo mwafaka kutoka kwa serikali
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
21:00 - 21:29