Radio
06:00 - 06:30
16:30 - 16:59
Uingereza yasema kwamba wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya kigeni waweza kupewa vibali vya muda vya kufanya kazi nchini.
Hata hivyo tangazo hilo limezua ngumzo kubwa kutokana na kwamba hakuna vyuo vikuu vya Afrika kwenye orodha iliyotolewa, vingi vikiwa ni vya Marekani, Canada na Japan miongoni mwa mataifa mengine.
19:30 - 19:59
Mabalozi wa kigeni nchini Burundi walalamikia haki ya kudorora kwa haki za binadamu.
Mabalozi hao ambao miongoni ni kutoka Marekani miongoni mwa mataifa mengine wamekutana na waziri wa mambo ya kigeni wa Burundi na kulalamikia rasmi ukosefu wa haki za kibinadamu, suala ambalo amekanusha na kusema kwamba ni tetesi za uongo kutoka baadhi ya asasi za kiraia.
21:00 - 21:29