Radio
06:00 - 06:30
Wakimbizi nchini Afrika Kusini waomba kuhamishiwa nchi nyingine
Kundi la wakimbizi nchini Afrika Kusini wamekuwa wakikita kambi mbele ya ofisi ya UNHCR tangu mwezi uliopita, wakiomba kuhamishiwa kwenye nchi nyingine, kwa sababu ya chuki inayoendelea dhidi ya wageni. Wakimbizi hao ni kutoka Burundi, Congo, Malawi na Rwanda.
16:30 - 17:00
VOA Express
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.