Shirika la Marekani la maendeleao ya kimataifa, USAID, limetangaza kwamba litaipatia Kenya dola milioni 255 kama msaada wa dharura na maendeleo kukabiliana na ukame uliokithiri.