Wanaharakati wa haki za watoto nchini humo wanasema kwamba wakati wa zoezi la uchaguzi wa Agosti 9, baadhi ya watoto watakuwa nyumbani bila uangalizi wa wazazi na kwa hivyo hatari nyingi huenda zikatokea wakati macho yakiwa kwenye uchaguzi.
Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto, UNICEF, imeeiorodhesha Tanzania kama ya 11 kati ya nchi zenye idadi kubwa zaidi ya ndoto ndoa za utotoni na kuzindua kampeni kabambe iitwayo "Binti."
Mjadala wa kila Ijumaa "Live Talk" unaangazia namna Afrika inaweza kujiondoa katika ushawishi wa mataifa ya Magharibi na yaliyo endelea kiujumla.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.