Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 04:20

Bunge la Kenya lakataa mapendekezo ya wizara ya fedha ya kuongeza kodi kwa bidhaa muhimu

Bunge la Kenya lakataa mapendekezo ya wizara ya fedha ya kuongeza kodi kwa bidhaa muhimu
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Kamati ya bunge la Kenya ya masuala ya fedha imekataa mapendekezo ya wizara ya fedha yaliyomo kwenye makadirio ya matumizi ya fedha za serikali yaliyotaka kodi iongezwe kwa bidhaa mbalimbali muhimu.

XS
SM
MD
LG