Radio
16:30 - 16:59
Simu za mkononi zaleta msukumo rika kwa wasichana walio shuleni
Pamoja wa simu za mkononi kuwa muhimu, inaeezwa zinaleta msukumo rika kwa wasichana walio mashuleni. Tuzo za filamu za Oscars zafanyika baada ya kupita kipindi cha miaka miwili cha janga la Covid-19 ambalo lilizuia tukio hilo kufanyika moja kwa moja. Mwigizaji Will Smith, azua gumzo tuzo za Oscar.
19:30 - 19:59
Mawaziri wa mambo ya nje wa Israel na mataifa ya Umoja wa Falme za kiarabu wakutana
Mawaziri wa mambo ya nje kutoka Israel pamoja na mataifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Bahrain, Morocco na Misri wameagiza kuongeza ushirikiano. Wananchi wa mji wa DRC, Bunagana, uliopo mpakani wakimbilia chini Uganda, wakihofia maisha yao. Raia wa Ukraine wanadaiwa wanaweza kukabiliwa na njaa.