Maafisa nchini Uganda wanasema zaidi ya raia 8,000 kutoka DRC wamekimbilia nchini humo wakitoroka mapigano ya hivi karibuni kati ya waasi wa M23 na Jeshi la DRC.
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imeingia rasmi kwenye jumuiya ya Afrika mashariki na vijana katika jumuiya hiyo wana matumaini kwamba fursa zitaongezeka kwa upande wao.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Baada ya mchakato uliochukua zaidi ya mika miwili, wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Jumanne waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama wa jumuiya hiyo.