Radio
19:30 - 19:59
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan waanza katika baadhi ya nchi, nyingine kuanza Jumapili
Mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Waislamu ulianza Jumamosi katika baadhi ya nchi kote duniani huku maeneo mengine yakitarajia kuuanza saumu hiyo siku ya Jumapili, licha ya kuwepo kwa changamoto zilizosababishwa na hali ngumu ya maisha.