Radio
06:00 - 06:29
Watu 16 wakiwemo wanajeshi tisa wamefikishwa mahakamana wakituhumiwa kuuza silaha huko DRC
Silaha za jeshi zinashukiwa kuangukia kwenye mikono ya kundi lenye sifa mbaya la CODECO linalolaumiwa kwa mauaji ya kikabila katika jimbo la kaskazini-mashariki la Ituri huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC)
16:30 - 16:59
19:30 - 20:00
Bunge la Seneti nchini Kenya latarajiwa kupigia kura muswada wa uteuzi wa viti maalum
Bunge la Seneti nchini Kenya linatarajiwa kujadili na kupigia kura muswada unaolazimisha uteuzi wa viti maalum uwe wa watu waliozaliwa au kusajiliwa kuwa wapiga kura katika majimbo hayo badala ya kuchukuliwa na wanasiasa wasiozaliwa maeneo hayo.