Radio
16:30 - 16:59
Sakata la Bodaboda na Bajaj kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam
Katazo la Bodaboda na Bajaj kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam, lasimamishwa na waziri Bashungwa. Jamii yaelezwa kuwa makini na mitazamo kwamba waschana wanaoweka picha zao kwenye mitandao ya kijamii si wote wenye nia mbaya. Jamii yatakiwa kukemea ulawiti na ubakaji kwa watoto.
19:30 - 19:59
Kenya imekuwa mwenyeji wa mkutano marais wa kikanda kujadili M23
Kenya imekuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa Uganda, DRC, na Rwanda kujadili M23. Makundi ya vijana wa Rutshuru, Kivu Kaskzini, DRC yamtaka Rais Felix Tshisekedi kuepuka mazungumzo na M23. Wakili wa kujitegemea wa Tanzania Peter Madeleka amedaiwa kukamatwa na wanaodaiwa polisi.
21:00 - 21:29