Radio
06:00 - 06:29
19:30 - 20:30
Rambirambi zamiminika kufuatia kifo cha rais wa tatu wa Kenya, Mwai Kibaki
Katika Livetalk wiki hii tunaangazia wasifu wa rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki, aliyeaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 90. Wanasiasa, wananchi na wachambuzi wanatazama mafanikio ya uongozi wake na dosari katika safari yake ya kisiasa.