Radio
06:00 - 06:29
Bunge la DRC limemfukuza kazi Waziri wa uchumi Jean-Marie Kalumba kwa uongozi mbaya
Bunge la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) limemfukuza kazi waziri wa uchumi wa nchi hiyo Jean-Marie Kalumba kwa tuhuma za uongozi mbaya. Wabunge hao wa DRC walichukua uamuzi huo Jumatano wakati wa kikao kilichokuwa na mvutano mkubwa mjini Kinshasa
16:30 - 16:59
Vijana watakiwa kutumia fursa za biashara baada ya DRC kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Baada ya DRC kujiunga ramsi na Jumuiya ya Afrika Mashariki, vijana wa nchi wanachama wametakiwa kutumia fursa hiyo kufanya biashara na ajira. Katika Kero: Vijana waaswa kujiepusha kutimiwa katika siasa hasa wakati wa uchaguzi mkuu wa Kenya wa 2022.