Radio
19:30 - 19:59
Viongozi wa dunia wakutana kujadili uvamizi wa Russia nchini Ukraine
Mataifa ya magharibi yameonya rais wa Russia Vladimir Putin kwamba nchi yake italipia gharama ya uharibifu unaotokea Ukraine. Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora la masafa ya mbali Alhamisi. Idadi ya vifo katika shambulizi la Somalia imeongezeka.
21:00 - 21:29
Yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa dharura wa G7 mjini Brussels, Ubelgiji
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Alhamisi alihutubia muungano wa NATO na kuomba msaada zaidi wa kijeshi ili aweze kupambana vilivyo na wanajeshi wa Russia, huku viongozi wa muungano huo wa kijeshi, akiwemo kiongozi wa Marekani Joe Biden, wakikutana mjini Brussels, Ubelgiji.
Presenter: