Chama tawala nchini Nigeria kimemteua mwenyekiti mpya katika kongamano la kitaifa linalonuia kumaliza mizozo huku kikijiandaa kumchagua mgombea atakayechukua nafasi ya Rais Muhammadu Buhari katika uchaguzi wa mwaka 2023.