Radio
19:30 - 19:59
21:00 - 21:29
Hisia mseto baada ya wanajeshi wa DRC kushutumiwa kuwaua raia 15 wasio na hatia
Ripoti kwamba watu wasiopungua 15 wamepoteza maisha yao Mashariki mwa DRC kwa kushambuliwa kwa risasi na maafisa wa jeshi katika matukio tofauti zimeibua hisia mseto, wengi wakitaka wanajeshi hao wachukuliwe hatua kali za kisheria.