Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 14:16

UNESCO yasema watoto wa kiume waongezeka kuacha shule


UNESCO yasema watoto wa kiume waongezeka kuacha shule
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

UNESCO yasema idadi ya watoo wa kiume wanaoacha shule yaongezeka. Tanzania yaadhimisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo wasichana waelezwa kuwa chachu ya kuudumisha. Haki miliki katika muziki yatakiwa kudumishwa ili kunufaisha wasanii.

XS
SM
MD
LG