Vyama vina wakati mgumu kutimiza mahitaji ya usawa wa jinsia katika usajili wake wa wagombea wa nafasi tofauti za kisiasa katika uchaguzi mkuu baada ya IEBC kutangaza sheria inayohitaji jinsia moja kutokuwa na zaidi ya theluthi mbili ya viti vya bunge na nafasi nyingine za uteuzi ni sharti itimizwe