Kiongozi wa waliowengi katika Baraza la Seneti Mitch McConnell apinga mchakato wa kumfungulia mashtaka Rais Donald Trump.
Mtiririko wa yaliyotokea kipindi cha kumfungulia mashtaka Rais Trump
Viongozi wa Bunge la Marekani Alhamisi wakijadili hatua zinazofuata katika Baraza la Seneti wakati tayari Baraza la Wawakilishi limemfungulia mashtaka Rais Donald Trump.

5
Kiongozi wa waliowengi katika Baraza la Seneti Mitch McConnell, akiwa na Sen. Roy Blunt, Kushoto na Sen. Joni Ernst, kulia, akipinga mchakato wa kumfungulia mashtaka Rais Donald Trump (AP Photo/J. Scott Applewhite)

6
Rais Donald Trump akizungumza na wabunge wa chama cha Republik siku moja baada ya Baraza la Wawakilishi kupitisha vifungu vya kumfungulia mashtaka kumuondoa madarakani.

7
Kura zilizopigwa katika Baraza la Wawakilishi zikionyeshwa katika runinga.

8
Mtu akiandamana nje ya bunge la Marekani Washington, DC Disemba 18, 2019 wakati baraza la Wawakilishi likijadili vifungu viwili vya kumfungulia mashtaka Rais Donald Trump. (Photo by Alex Edelman / AFP)