Rais wa zamani wa Marekani apata ushindi wa Chama chake cha Republikan katika Jimbo la New Hampshire inayomsogeza karibu kuchuana tena na Rais Joe Biden katika uchaguzi mwezi Novemba 2023.
Rais wa zamani wa Marekani apata ushindi katika Jimbo la New Hampshire
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari