Wachambuzi wasifu jinsi rais Kenyatta anavyotumia muda wake kuteuwa kwa makini watu wenye sifa ya ikuweza kuiongoza serikali mpya.
Rais mpya wa Ken ya Uhuru Kenyatta has ameapishwa mbele ya umati mkubwa wa watu walomshangiria na kupeperusha bendera ya Kenya, mjini Nairobi.
Mahakama ya juu nchini Kenya ilithibitisha kuwa bwana Uhuru Kenyatta alishinda kiti cha Rais kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika Machi 4, 2013
Raila Odinga akubali uamuzi wa mahakama amtakia Kenyatta uongozi mwema
Wanasiasa wakuu nchini Kenya rais mteule Uhuru Kenyatta na mpinzani wake mkuu Raila Odinga wal;itembelea mji wa Mombasa, mwishoni mwa wiki kuhudhuria halfa tofauti.
Muda mfupi baada ya tangazo la ushindi wa Kenyatta, Waziri mkuu Raila Odinga aliyeshika nafasi ya pili alizungumza mbele ya waandishi wa habari na kusema anapinga matokeo hayo.
Kenyatta ashinda katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa kihistoria Kenya ulokuwa na mashindano makali atatangazwa rais mteule Jumamosi asubuhi kwa mhula wa miaka mitano.
Wakenya wamekusanyika kando ya redio na televisheni wakisubiri kwa hamu matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa rais yatakayotangazwa leo usiku, huku Uhuru akiwa anaongoza.
Wanasiasa wanabidi kuwa na subra hadi matokeo yatolewe rasmi na hapo kuwasilisha malalamiko yao mahakamani wasema muungano wa watetezi wa amani Kenya, Tuvuke
Kalonzo Musyoka asema wizi wa kura unaendelea.
Mwenkiti wa IEBC Kenya Isack Hassan amesema hakuna njia yeyote ile kuweza kufanya wizi wa kura kama inavyodaiwa na viongozi wa mungano wa CORD .
Wakenya wasubiri kumjua nani rais wao mpya huku wengi wakisherekea ushindi wa magavana, seneta na wabunge wao
Pandisha zaidi