Washauri wa Trump wajaribu kufafanua kile rais-mteule alikua anataka kueleza kuhusiana na silaha za nyuklia wakisema hakutakua na mashindano ya silaha.
Donald Trump anatarajiwa kuidhinishwa na idadi ya wawakilishi kutolka majimbo alopata ushindi ingawa kumekuwepo na wito kwa wawakilishi kubadili kura zao.
Rais Obama amesema, “Nafikiri hakuna shaka kwamba pale serikali ya kigeni inapojaribu kuharibu uaminifu na maadili thaniti ya uchaguzi wetu… tunalazimika kuchukua hatua".
Ofisi ya Trump imeeleza kwamba anataka kuanza “mazungumzo na ushirikiano” ili kuchochea ubunifu na kutengeneza ajira zaidi.
Rais mteule wa Marekani Dobald Trump amteua uteuzi mwengine wenye utata kutokana na uhusiano wake wa karibu na kiongozi wa Rashia.
Trump aliendelea kukutana na wanasiasa na watu ambao huenda akawateua kujiunga na baraza lake la mawaziri.
Siku ya Ijumaa, Trump alisema kuwa hatafutilia mbali vipengele vya mfumo wa afya wa Obamacare, ambao, kwenye kampeni zake, amekuwa akiwaahidi wafuasi wakekwamba, angeubadilisha kabisa.
Baadhi ya miji mikubwa ya Marekani iliendelea kushuhudia maandamano kwa siku ya nne mfululizo ya kupinga kuchaguliwa kwa rais mteule Donald Trump na baadhi ya sera zake.
Rais mteule wa Marekani Donald Trump akijitayarisha kuchukua uwongozi, maandamano dhidi yake yanaendelea
Wamarekani wanaopinga ushindi wa Trump katika uchaguzi wa rais wameandamana katika miji karibu 7 Jumatano usiku
Maandamano yanaenea kote Marekani kupinga ushindi wa rais mteule Donald Trump hasa kutokana na maneno ya kudhalilishwa wahamiaji, waislamu na wanawake wakati wa kampeni za uchaguzi.
Wapinzani wakuu wanaong'ang'ania urais, Donald Trump na Hillary Clinton, siku ya Jumatatu walifanya mikutano kadhaa ya kampeni katika majimbo ambayo yalionekeana kuwa na ushindani mkubwa, huku kila mmoja akiwarai Wamarekani kumpigia kura
Pandisha zaidi