Wagombea urais wa Marekani Joe Biden na Donald Trump walikuwa na mdahalo wa CNN wa wagombea urais wa kwanza katika mzunguko huu wa uchaguzi jana Alhamisi.
Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa zamani wa Marekani na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republikan Donald Trump wakishiriki katika mdahalo wa CNN wa wagombea urais wa uchaguzi wa mwaka 2024 katika studio za Kituo cha Televisheni cha CNN huko Atlanta, Georgia, Juni 27, 2024.
Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa zamani wa Marekani na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republikan Donald Trump wakishiriki katika mdahalo wa CNN wa wagombea urais wa uchaguzi wa mwaka 2024 katika studio za Kituo cha Televisheni cha CNN huko Atlanta, Georgia, Juni 27, 2024.
Wagombea urais wa Marekani Joe Biden and Donald Trump watakabiliana katika mdahalo wao wa kwanza leo usiku katika mzunguko huu wa uchaguzi. Kutoka Atlanta Mwandishi wa VOA Calla Yu anatuelezea nini kitarajiwe.
Wagombea kufanya Mdahalo wa kwanza kati ya miwili ya wagombea urais wa Marekani
Rais wa zamani Donald Trump, mgombea urais mtarajiwa wa chama cha Republican, anasema watu wanapiga kura kinyume cha sheria katika uchaguzi wa Marekani, ikiwa ni pamoja na wahamiaji.
Mgombea urais wa Marekani Donald Trump amerejea kwenye kampeni baada ya kukutwa na hatia huko New York kwa kugushi rekodi za biashara.
Donald Trump amerejea kwenye kampeni ya kisiasa wiki hii akiwa rais wa kwanza wa Marekani kukutwa na hatia ya uhalifu wakati ambapo ni mgombea mkuu wa chama.
Uchumi wa Marekani ni moja ya masuala makubwa sana kwa wapiga kura katika kinyang’anyiro cha urais mwaka huu kati ya Joe Biden and Donald Trump.
Hapana. Kazi iko wazi kwa wale wana sifa zilizotajwa katika Katiba ya Marekani.
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump huenda akakabiliwa na kifungo jela baada ya jopo la mahakama huko New York kumkuta na hatia ya kugushi rekodi za biashara katika kesi inayohusu kumlipa mtu pesa ili kuficha mahusiano yake.
Mgombea Urais wa Marekani, Donald Trump anasema atakata rufaa kutokana na maamuzi ya kukutwa na hatia ya uhalifu kwa kugushi rekodi za biashara kabla ya uchaguzi wa 2016.
Pandisha zaidi