Wakati dunia inaadhimisha siku ya Ukimwi Duniani, takwimu za kitaifa nchini Tanzania za mwaka 2012 zinaonyesha maambukizi ya ugonjwa huo yamepungua kutoka asilimia 9.2 mpaka asilimia 5.1 hivi sasa.
Miaka ya tisini Uganda ilipiga hatua kubwa sana kwenye vita dhidi ya ukimwi lakini sasa mambo yamebadilika. Kwa mujibu wa takwimu za tume ya ukimwi nchini Uganda, watu mia nne wanaambukizwa ukimwi kila siku nchini Uganda.
Mshindi wa Tunzo ya amani ya Nobel Aung San Suu Kyi anasema "Tunaweza kuleta mabadiliko kwa kuwaruhusu watu kustawi katika maisha yenye heshima bila ya kujali asili yao au wao ni nani. Ninamkaribisha kila mtu kunyosha mkono, kua na imani na kukomesha ubaguzi".
Miaka ya kwanza ya Ukimwi barani Afrika, haukuwa na jina rasmi. Katika maeneo mengi, uliitwa ugonjwa wa kukonda kwa maana watu walikon
Maafisa wa tasisi ya kimataifa ya kupambana na ukimwi kifua kikuu na malaria, wanakosoa ripoti juu ya matumizi mabaya ye fedha zake.
Waathirwa wa HIV/ Ukimwi huko DRC wanasema haitoshi kupata madawa bila ya lishe bora na ushauri wa kisikolojia, kuweza kuwasiadia.
Viongozi wa serikali na mashirika ya kiraia Kenya wanasema idadi ya wanao ambukizwa na HIV imepunguka.
Waathiriwa wa HIV/Ukimwi nchini Burundi wanalalamika kwamba wanataabika kuweza kupata madawa, ingawa inatolewa bure.
Maafisa wa afya wa Tanzania wanasema kuna haja ya kuimarisha juhudi za kupunguza uambukizaji HIV katika maeneo ya mashambani.
Pandisha zaidi