Mwendesha mashitaka wa ICC aomba kuahirisha kesi dhidi ya Kenyatta
ICC ilimshutumu Barasa kwa kuwahonga mashahidi katika kesi ya Naibu Rais wa Kenya, William Ruto katika ghasia za baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya ambazo zilisababisha watu 1,300 kufariki na maelfu kukoseshwa makazi
Ruto asema waendesha mashtaka wa ICC walitenda hovyo kazi zao na kuwashawishi mashahidi kusema uwongo dhidi yake na washtakiwa wenzake
Bwana Kenyatta na naibu wake William Ruto wanakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa shutuma za kupanga ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2007 na mwaka 2008.
Amesema viongozi hao wa Kenya wanahitajika nyumbani ili kushughulikia usalama wa taifa lao.
ICC pia imepanga Novemba kuanza kusikiliza kesi ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta juu ya mashtaka yanayohusiana na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu Kenya mwaka 2007.
ICC yataka mwandishi wa habari mwingine Kenya kukamatwa kutokana na tuhuma za kutoa hongo.
Kesi ya Ruto imeanza mwezi huu na kesi ya Rais Kenyatta itaanza Novemba. Wote wanashirikiana vizuri na ICC na wamekana mashtaka dhidi yao.
Bwana Ruto anashtakiwa na ICC kwa uhalifu dhidi ya binadamu shutma ambazo anakana kuzifanya kufuatia uchaguzi mkuu wa 2007 nchini kenya
Naibu rais william Ruto na mtangazaji Joshua Arap Sang tayari wameshaondoka Nairobi kuelekea Uholanzi huku wakisindikizwa na wafuasi kadhaa.
Pandisha zaidi