Rais wa Marekani, Barack Obama, atakuwepo mjini Orlando leo kufanya kile “White House” ilichokiita “wajibu wake wa kufariji na kutoa pole kwa jumuiya hiyo inayopitia kipindi kigumu."
Biden hakufafanua zaidi lakini alisema katika siku za hivi karibuni Rais Barack Obama atalizungumzia swala hilo kwa kina. Obama anatarajiwa kuzuru mji wa Orlando siku ya Alhamisi.
Akitembelea Sauti ya Amerika Katibu Mkuu wa chama cha CUF, Tanzania azungumzia mauwaji ya Orlando ambako watu 49 waliuliwa na 53 kujeruhiwa.
FBI imesema kuwa kufikia sasa hakuna jambo linaloashiria kwamba mshambuliaji alikuwa na uhusiano wa moja kwa moja na kundi la Isamic State.
Ikulu ya Marekani imesema kuwa Rais atasafiri kuelekea Orlando leo Jumanne ili kutoa pole kwa familia za walioathiriwa.
"Nafikiri hiyo inaweza kuharibu uhusiano wetu na dunia nzima"-Ibrahim Hooper.
Howell aliwaambia polisi kwamba alipanga kuhudhuria tamasha na hakuwa na mpango wa kufanya jambo lolote la kuumiza.
Obama amesema juhudi zote zinafanyika kujua nini kilimchochea muuaji huyo kufanya hivyo au kama alikuwa na ushirikiano wowote na makundi ya kigaidi.
Mwanasheria mkuu Loretta Lynch na waziri wa usalama wa ndani Jeh Johnson wote waliakhirisha safari zao kwenda Beijing
Shambulizi limesababisha hali ya mshangao na maswali mingoni mwa watu kuhusu ni hatua gani Serikali inaweza kuchukua kuzuia hilo kutokea tena.
Pandisha zaidi