Radio
06:00 - 06:30
Nchi wanachama wa COMESA zataka bajeti za kufadhili miundombinu ziongezewe
Mawaziri wa Nchi za jumuiya ya kiuchumi ya mashariki na kusini mwa Afrika Comesa, wanaokutana mjini Kigali, Rwanda, wamesema kwamba kuna haja ya kuongeza maradufu bajeti zinazoelekezwa kwa miundombinu katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
19:30 - 20:29
Bei ya mafuta imeongezeka kote duniani baada ya Russia na Saudi Arabia kupunguza uzalishaji.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.