Radio
19:30 - 20:00
Rais Joe Biden wa Marekani amesifu ushirikiano wa karibu na Vitenam alipotembelea Hanoi Jumapili kuimarisha ushirikiano wa ulinzi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.