Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Biden aitaka dunia kuungana kutatua matatizo yake na kutoiacha Ukraine kukandamizwa
Rais Joe Biden na Antonio Guterres, watoa wito kwa viongozi kukabiliana na changamoto za dunia kwa pamoja, wakifungua mkutano mkuu wa UM.