Radio
16:30 - 16:59
Tamasha la Utamaduni Duniani litafanyika National Mall mjini Washington, DC kwa maonyesho mbalimbali kutoka Septemba 29 hadi Oktoba 1.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
21:00 - 21:29
Ziara ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani barani Afrika
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Loyd Austin alikuwa nchini Kenya Jumatatu na Jumanne, akiangazia uimarushwaji wa ushirikiano wa kiulinzi kabla ya kwelekea nchini Angola, kituo chake cha mwisho cha ziara ya nchi tatu barani Afrika, iliyoanzia nchini Djibouti.